DPP Zanzibar - Office of the Director of Public Prosecutions
Logo Zanzibar

OFFICE OF THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS ZANZIBAR

No guilt without evidence. Do not underestimate, do not refuse to provide evidence
Logo Zanzibar

Division of Corruption, Economic Sabotage, and Money Laundering

Division Overview and Core Duties

About the Division

Divisheni ya Rushwa, Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha Haramu ni kitengo kinachohusika na jukumu la kupokea na kuyafanyia kazi kwa haraka majalada ya kesi yote yanayohusiana na makosa ya rushwa, uhujumu uchumi pamoja na utakatishaji fedha haramu. Divisheni hii inatoa ushauri na mapendekezo kwa Serikali katika kukabiliana na makosa haya yanayodhuru uchumi na mifumo ya kiuchumi ya nchi. Lengo kuu la divisheni hii ni kuhakikisha kwamba shughuli za ufisadi, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu zinasimamiwa na kushtakiwa kwa ufanisi.

Core Responsibilities

Key responsibilities managed by the Division of Corruption, Economic Sabotage, and Money Laundering:

1
Kupokea na Kufanyia Kazi Majalada ya Kesi

Kupokea na kuyafanyia kazi majalada ya kesi yanayohusiana na makosa ya rushwa, uhujumu uchumi na utakatishaji fedha haramu kwa haraka na ufanisi.