DPP Zanzibar - Office of the Director of Public Prosecutions
Logo Zanzibar

OFFICE OF THE DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS ZANZIBAR

No guilt without evidence. Do not underestimate, do not refuse to provide evidence
Logo Zanzibar

Division of Administration and Human Resources

Division Overview and Core Duties

About the Division

Divisheni ya Utawala na Rasilimali Watu ina jukumu muhimu la kushughulikia masuala yote yanayohusiana na usimamizi wa shughuli za kila siku za Afisi. Hii ni pamoja na ufuatiliaji wa maslahi na haki za watumishi, usalama wa majengo, vifaa vya ofisi, kuandaa mipango ya mafunzo na kusimamia utekelezaji wake. Lengo kuu la divisheni hii ni kuhakikisha kuwa taasisi inafanya kazi kwa ufanisi, wafanyakazi wanakuwa na mazingira bora ya kazi, na rasilimali zote zinatumiwa kwa njia bora zaidi kwa manufaa ya taasisi.

Core Responsibilities

Operational and human resource responsibilities managed by the Division of Administration and Human Resources:

1
Utoaji wa Huduma za Uongozi

Kutoa huduma za uongozi rasilimali watu na utawala kwa taasisi husika.